Karibu kwenye jukwaa la VIWAWA Tanzania — nyumba ya kijana Mkatoliki anayetamani kukua kiroho, kujenga maadili ya kazi, kushirikiana na wenzake na kulitumikia Kanisa, jamii na Taifa kwa upendo.
Jisajili kupitia parokia/kigango kilichothibitishwa.
Tazama na jisajili kwenye matukio ya VIWAWA.
Vitabu, Katiba, miongozo na mafundisho.
Ajira, internship na job application tracking.
Picha, video na audio za kumbukumbu.
Unganisha vijana na Radio Maria Tanzania.